Takbira atakapofika katika Hajar Al-Aswad.

1

(234) Mtume ( ص ) alitufu (kuzunguka Al- Kaabah) juu ya ngamia, kila anapofika katika Hajaral-Aswaa' (Jiwe jeusi) alikuwa anaashiria kwa fimbo yake, na kusema: “Mwenyezi Mungu ni Mkubwa.”

Zaker copied