Utajo unaosomwa katika kikao.

1

(195) Imepokewa kutoka kwa Ibn Omar amesema: ‘Alikuwa akihisabiwa Mtume ( ص ) kusoma kwake dua hii katika kikao kimoja ikifika idadi ya mara mia kabla haja simama. ' “Mwenyezi Mungu nisamehe, na nikubalie toba yangu, hakika Wewe ni mwingi wa kukubali toba, mwingi wa kusamehe.”

Zaker copied