Dua ya kuomba unapoona matunda yanachipua kwenye miti.

1

( 187 ) “Ewe Mwenyezi Mungu tubarikie matunda yetu, na tubarikie mji wetu,na tubarikie pishi (Swaa’) yetu, na tubarikie kibaba (Mudd) chetu.” (Swaa' moja ni sawa na Mudd nne. na Mudd moja ni kipimo cha viganja vya mikono mara nne).

Zaker copied