Dua ya kulipa deni.

1

( 136 ) “Ewe Mwenyezi Mungu nitosheleze mimi na halali yako kutokana na haramu, na unitosheleze kwa fadhila zako nisiwahitaji wengine usio Wewe.”

2

( 137 ) “Ewe Mwenyezi Mungu hakika mimi najilinda kwako kutokana na hamu, na huzuni, na kutoweza, na uvivu, na ubakhili na uoga, na uzito wa deni, na kushindwa na watu.”

Zaker copied