Dua ya aliyepatwa na msiba.

1

( 154 ) “Sisi ni wa Mwenyezi Mungu nasi kwake tutarejea, Ewe Mwenyezi Mungu nilipe kwa msiba wangu, na unipe badili yake bora kuliko huo.”

Zaker copied