Dua ya kutoka nyumbani.

1

( 17 ) Ewe Mwenyezi Mungu najilinda kwako kutokamana na kupotea au kupoteza, au kuteleza, au kumtelezesha mtu, au kudhulumu au kudhulumiwa, au kuwa mjinga au kufanywa mjinga.

2

( 16 ) “Kwa jina la Mwenyezi Mungu (ninatoka), ninamtegemea Mwenyezi Mungu, na hapana uwezo wala nguvu ila vyote vinatokana na Mwenyezi Mungu.”

Zaker copied