( 126 ) “Ewe Mwenyezi Mungu hakika sisi tunakufanya Wewe uwe katika vifua vyao, na tunajikinga kwako na shari zao.”
( 127 ) “Ewe Mwenyezi Mungu Wewe ndie msaidizi wangu, nawe ndie mnusuru wangu, kwako ninazunguka, na kwako ninavamia, na kwako ninapigana.”
( 128 ) “Mwenyezi Mungu anatutosheleza, naye ni mbora wa kutegemewa.”