Pongezi ya kupata mtoto na jawabu yake.

1

( 145 ) “Mwenyezi Mungu akubariki katika ulicho pewa na umshukuru aliyekupa, na afike kuwa mkubwa, na uruzukiwe wema wake.” Na aliyepongezwa atamuombea aliyempongeza kwa kumwambia: “Mwenyezi Mungu akubariki na ateremshe Baraka juu yako, na Mwenyezi Mungu akujazi kheri, na Mwenyezi Mungu akuruzuku mfano wake, na afanye nyingi thawabu zako.”

Zaker copied