Dua ya kuvaa nguo mpya .

1

( 6 ) “Ewe Mwenyezi Mungu, sifa njema ni zako, wewe ndie ulienivisha, nakuomba kheri ya nguo hii, na kheri ya kila ambacho nguo hii, imetengenezewa, na najilinda kwako kutokamana na shari yake, na shari ambayo nguo hii imetengenezewa.”

Zaker copied