(242) Alikuwa Mtume (ص ) ikimuijia habari ya kufurahisha husujudu kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu (S. W).