( 194 ) “Sifa njema ni za Mwenyezi Mungu ambaye arneniepusha na kile alichokupa mtihani, na akanifanya mimi kuwa bora kuliko wengi miongoni mwa aliowaumba.”