Azkar ya Kiislamu
Kiswahili
العربية
English
Français
Türkçe
Deutsch
Español
Indonesian
Kiswahili
haʊsə
Bahasa Melayu
Èdè Yorùbá
Yougandi
Gjuha shqipe
русский язык
Filipino
адыгэбзэ
Marnaou
සිංහල
فارسی
Azərbaycan dili
oʻzbekcha
tiếng Việt
Azkar ya Kiislamu
1
Dua za kuamka kutoka usingizini.
2
2 – Dua ya kuvaa nguo
3
Dua ya kuvaa nguo mpya .
4
Dua unayo muombea aliyevaa nguo mpya.
5
Dua ya kuvua nguo.
6
Dua ya kuingia chooni.
7
Dua ya kutoka chooni.
8
Dua ya kabla ya kutawadha.
9
Dua baada ya kutawadha.
10
Dua ya kutoka nyumbani.
11
Dua ya kuingia nyumbani.
12
Dua ya kwenda Msikitini.
13
Dua ya kuingia Msikitini.
14
Dua ya kutoka Msikitini.
15
Dua za Adhan.
16
Dua za kufungulia Salah.
17
Dua ya wakati wa kurukuu
18
Dua ya kuinuka kutoka kwenye rukuu.
19
Dua ya wakati wa kusujudu.
20
Dua za kikao kati ya sijda mbili.
21
Dua za sijda ya kisomo.
22
Dua ya Tashahhud
23
Kumsalia Mtume ( ص ) baada ya tashahhud.
24
Dua baada ya Tashahhud.
25
Nyiradi baada ya kutoa Salamu (kumaliza Swala).
26
Dua ya Swalatul-Istikhara (swala ya kutaka muelekezo au kukata shauri katika jambo).
27
Nyiradi za asubuhi na jioni.
28
Nyiradi za kulala.
29
Dua anapojigeuza usingizini usiku.
30
Dua ya wasiwasi usingizini au kusikia uoga na mfazaiko.
31
Anayoyafanya mwenye kuota ndoto njema au mbaya.
32
Dua ya Qunut ya Witri
33
Dua baada ya Salamu katika Swala ya Witri.
34
Dua ukiwa na hamu na huzuni.
35
Dua ya kupatwa na janga au balaa.
36
Dua ya anaekutana na adui au mwenye kutawala.
37
Dua ya mwenye kuogopa dhulma ya mwenye kutawala.
38
Kuomba dua dhidi ya adui.
39
Dua ya anaewaogopa watu.
40
Dua ya aliyepatwa na shaka katika imani yake.
41
Dua ya kulipa deni.
42
Dua ya aliyeingiwa na wasiwasi katika Swala yake au kisomo chake.
43
Dua ya ambaelimekua gumu kwake jambo.
44
Analosema aliyefanya dhambi.
45
Dua ya kumfukuza shetani na wasiwasi wake.
46
Dua anayoisoma mtu akitokewa na jambo asiloliridhia au akishindwa kufanya jambo.
47
Pongezi ya kupata mtoto na jawabu yake.
48
Dua inayo kingwa nayo watoto.
49
Dua ya kumtembelea mgonjwa.
50
Fadhila za kumtembelea mgonjwa.
51
Dua anayoomba mgonjwa aliyekata tamaa na kupona.
52
Kumlakinia anaetokwa na roho.
53
Dua ya aliyepatwa na msiba.
54
Dua ya kumfunga macho maiti.
55
Dua ya kumuombea maiti wakati anaposwaliwa.
56
Dua ya maiti ya mtoto mchanga wakati wa kumswalia.
57
Dua ya kumtaazi (kumhani) aliyefiliwa.
58
Dua ya kumuingiza maiti ndani ya kaburi.
59
Dua baada ya kumzika maiti.
60
Dua ya kuzuru makaburi.
61
Dua ya upepo mkali.
62
Dua ya radi.
63
Dua ya kuomba mvua.
64
Dua ya mvua inaponyesha.
65
Dua baada ya mvua.
66
Dua ya kutaka mvua iondoke (wakati itakapoleta madhara).
67
Dua ya kuona mwezi unaponaama (unapo andaama)
68
Dua ya wakati wa kufungua saumu.
69
Dua kabla ya kula.
70
Dua ya baada ya kula.
71
Dua ya mgeni kwa aliyemkaribisha chakula.
72
Dua ya kumuombea aliyekupa kinywaji au anaetaka kukupa.
73
Dua ya kumuombea uliye futuru kwake.
74
Dua ya aliealikwa chakula lakini akawa amefunga.
75
Anachosema aliyetukanwa hali ya kuwa amefunga.
76
Dua ya kuomba unapoona matunda yanachipua kwenye miti.
77
Dua ya kupiga chafya (kuchemua).
78
Anachoambiwa kafiri anapopiga chafya (chemua).
79
Dua ya kumuombea aliyeowa.
80
Dua anayoomba bwana harusi, au aliyenunuwa chombo cha kupanda (kama mnyama au gari).
81
Dua kabla ya kujimai.
82
Dua ya wakati mtu amekasirika.
83
Dua anayoomba mwenye kumuona kilema.
84
Utajo unaosomwa katika kikao.
85
Kafara ya kikao.
86
Kumuombea dua anaekuombea msamaha kwa Mwenyezi Mungu.
87
Dua ya kumuombea aliyekufanyia wema.
88
Dua ya kujilinda na Dajjal.
89
Dua ya kumuombea anaekwambia anakupenda kwa ajili ya Mwenyezi Mungu.
90
Dua ya kumuombea aliyekusaidia kwa mali.
91
Dua unapolipa deni.
92
Dua ya kuogopa kuingia katika ushirikina.
93
Dua kwa aliyesema Mwenyezi Mungu akubariki.
94
Dua ya kuchukia ndege mbaya.
95
Dua ya kupanda mnyama au chombo chochote cha kusafiria.
96
Dua ya safari.
97
Dua ya kuingia mjini au kijijini.
98
Dua ya kuingia sokoni.
99
Dua wakati mnyama alieupanda akileta tabu (au chombo cha safari).
100
Dua ya anaesafiri kuwaombea wakaazi.
101
Dua ya wakaazi wanayo muombea anae safiri.
102
Kumkumbuka Mwenyezi Mungu wakati wakupanda mlima na wakati wa kushuka.
103
Dua ya msafiri unapoingia usiku.
104
Dua ya msafiri akishuka sehemu wakati yuko safarini.
105
Dua ya msafiri akirudi kutoka safarini.
106
Anachosema mtu iliyemjia habari ya kufurahisha au ya kusikitisha.
107
Fadhila za kumswalia Mtume ( ص)
108
Fadhila za kueneza na kudhihirisha maamkuzi ya Kiislamu.
109
Namna ya kumrudishia salamu kafiri anapokusalimia.
110
Dua ukisikia mlio wa jogoo au wa punda.
111
Dua wakati wa kusikia mlio wa mbwa usiku.
112
1 1 2. Dua unayomuombea uliyemtukana.
113
Anachosema Muislamu akimsifu Muislamu mwenziwe.
114
Anachosema Muislamu akisifiwa.
115
Vipi ataleta Talbiyah aliyehirimia kwa Hijjah au Umrah.
116
Takbira atakapofika katika Hajar Al-Aswad.
117
Dua inayosomwa baina ya Nguzo ya Yemen na Hajar Al Aswad (katika Al Kaaba).
118
Dua ya kusomwa ukiwa umesimama katika mlima wa Swafaa na wa Maruah.
119
Dua ya siku ya Arafah.
120
Utajo katika Mash’arul Haraam (Muzdalifah)
121
Anaporusha kila kijiwe katika Jamarah (Nguzo).
122
Anachosema wakati wa kustaajabu na wa furaha.
123
Anachofanya akipata habari ya kufurahisha.
124
Anachosema na kufanya anaposikia maumivu mwilini.
125
Anachosema anaeogopa kupatwa na kijicho.
126
Kinachosemwa wakati wa mfazaiko.
127
Anachosema wakati wa kuchinja.
128
anachosema kwa ajili ya kurudisha (kuzuwia) vitimbi vya mashetani wabaya.
129
Kuomba msamaha na kutubia.
130
Fadhila za Tasbiih, na Tahmiid, na Tahliil, na Takbiir.
131
Vipi alikuwa Mtume (ص) akimsabbih Mwenyezi Mungu.
132
Katika mambo ya kheri na adabu kwa jumla.